KHADIJA

LIFE IS LIKE A WARE

Wednesday 3 February 2016

UMUHIMU WA MAZINGIRA

WEKA MAZINGIRA SAFI

Usafi wa mazingira ni muhimu katika maisha ya mwanadamu .Safisha mazingira weka katika hali ya
usafi ili kuepusha maradhi ya mripuko .Mazingira yanapo kua sio masafilekea kutokea kwa maradhi
mbalimbali ya mripuko kama vile kipindu pindu,typhod n.k .Hivyo basi niwajibu wetu kuyatunza mazingira.
Mazingira yanapokua safi tunapata faida nyingi kama vile kuvta hewa safi na kuepukana na magpnjwa ya hatari.
NB.Inawezekana timiza wajibu wako!
Tunaweza kuimarisha mazingira kwa kupanda miti ili kuhifadhi vyano vya maji.
Tuache kutupa taka ovyo.

Tusifunge wanyama wengi katika eneo moja.
Tuache kukata miti ovyo.
 
UMUHIMU WA KUPANDA   MITI
Upatikanaji wa mvua za kutsha.
Tunapata hewa safi.
Huzuia mmong'onyoko wa ardhi.
Hupunguza joto.n.k